Ipad ya apple ndo nini!!?
Haaa haaaa sawasawa nawe umeamua umpelekee mulemule ili muende sawa.Galaxy ya Samsung!
Cheki software update ktk settings, kama ipo updated fanya soft reset ( unaweza cheki kwa Google how to do it).Wakuu kuna ipad ya apple inaanza kustack au kuwa nzito wakati wa kuperuzi
Hivyo kufanya kufungua page taratibu au wakati mwingine kujifunga wakati unaendelea kuperuzi
Je ni kitu gani cha kufanya ili kuifanya iwe kama zamani?
Mkuu nielimishe tu unapojuwa...usinikejeli
Asante mkuu elmagnifico ,nimeelewa kuwa kumbe ipad ni famili ya Tablets,umenifungua kitu,mie nilidhani zote huitwa ipad as nimeanza kutumia hii makitu kwa familia ya apple tu.Nikajuwa zote huitwa ipad,ni kama vile kila kituo ni shell,na enzi hizo kila simu ni mobitelMkuu ipad ni brand name ya tablets za apple yani ukisheaema ipad bas moja kwa moja mtu anajua ni tablet ya apple hakuna ipad ambayo ni ya kampuni nyingine. Vifaa vya apple vinaanza na i, ipad, ipod, imac, itunes hvyo...
Jaribu ku ireset mkuu