Travibela
Member
- Mar 10, 2016
- 76
- 58
Kutokana na muda wangu kwa sasa, na ujuzi nilionao, nimeona ni vyema nikawawezesha wasio na uwezo wa kumiliki magazeti yao waweze kuyamiliki na warahisishe mambo yao. Iwe biashara au charity, ni mtu mwenyewe.
Natoa ofa, kwa yeyote anayehitaji kumiliki gazeti tando (BLOG) basi anicheck hapa hapa jukwaani. Bei zangu hazitozidi shilingi 30,000/= kwa za kawaida, na hazitoshuka 200,000/= kwa zile zenye mahitaji mengi zaidi..
Ngoja nirahisishe.. Kwa kuwa ninachokifanya ni huduma zaidi kuliko biashara (niko likizo ya kikazi kwa miezi hii miwili), basi ningependa kuona nafanya walau designs 30 kwa kipindi hiki kifupi.
Lingine, hata kama wewe si muhitaji, endapo una mtu unataka umsaidie kwa kuwa unaona ana potential ambayo itamsaidia au itakusaidia hata wewe, unaweza kumsaidia kwa hili.. Wekeza, inalipa!
Kwa nchi zilizoendelea, ni kawaida sana kwa vijana hata jobless kumiliki blogu zao personal. Kwa kuwa hakuna ambaye hana cha kuandika. Kila mtu anajua kitu ambacho wengine hawakijui hivyo kuwa na blogu inaweza kuwa nafasi ya mtu kueleza na akapata faida kwa vile anavyotaka (kuaminiwa, kufahamika, au kipato)..
Karibuni sana WanaJF..