Msaada kuconect wireless network kwenye laptop

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
594
637
Wanajamvi habari za kazi,

Nina laptop dell Insporon 5050, nikijaribu kuconnect wireless network inaconnect lakini hai acces internet.

Inaniambia connected lakini no internet acces nimejaribu kupitia settng na configurations kadha lakin nimegonga mwamba.
Naombeni msaada wadau.
 
ina konnect halafu no intanet access? inawezekana ni tatito la browser au pengine hakikisha kifurushi kama kipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom