Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
SASA UNAWEZA TUMIA WHATSAPP SAMBAMBA KWA SIMU JANJA NA KOMPYUTA YAKO
Kampuni mama ya mtandao wa facebook imetangaza muendelezo wa mbadiliko mazuri mapya kwa mtandao wa mawasiliano unaotumika kwa kasi sana wa whatsap
Mtandao wa whatsap unafanya vizuri ukiwa na rekodi ya watumiaji zaidi ya billion wanao tumia kwa Mwezi katika uwanda wao wa ujumbe, tatizo kubwa pale watu wnapopoteza simu na kutaka kuendelea kutumia mtandao huo ambapo ilibidi mpaka aidha ununue simu mpya au ushushe toka mtandaoni aplikakesheni ya bluestack ndo uweze kuipta whatssap tena katika kompyuta yako.
Habari njema ni kwamba siku ya jumanne facebook wametangaza kuleta mtandao wa whtasap katika kompyuta za mezani zinazotmia window 8 na kuendelea pamoja na bidhaa za apple mac os x9 (mavericks) na zaidi.
Unaweza kutumia simu yako na muda huo ukitumia whatsap ya kwenye kompyuta yako, pia unaweza kutumia shotikati, pia utapata taarifa fupi kuhusiana na lolote linaloendelea ktaika whatssap yako.
Kuipata whatssap ya kompyuta ya mezani ingia hhtps://www/whatsap.com/download baada ya kupata ifungue alafu uiskani qr code (fungua whtasap yako ya simu ingia kwenye halafu fungua whtsap web) kwa kutumia whtsap yako ya simu janja yako ya TECNO, hivyo unaweza iweka kwa chaji simu yako na kuendelea na kuchat kwa kompyuta
Kama whtsap yako ya kweny simu hii mpya pia inakuja nafasi ya kuchati na marafiki wakati simu yako ipo mfukoni hasa wale wa ofisini unaweza endelea itumia na simu ikawa inafanya mambo mengine.
SOURCE: Introducing WhatsApp's desktop app - WhatsApp Blog