Msaada wakuu Tecno phatom Z haiwaki

Msaada wakuu Tecno phatom Z haiwaki

Bm_boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
547
Reaction score
348
Hii simu ilidumbukia kwenye maji baada yakuitoa nakuikausha ikawa inawaka nakuishia kwenye ile Logo ya Expirince smartlife now.. Haiendelei tena.. Nimejaribu kuhard reset imegoma nimejaribu kuiwekea stoc rom ila inagoma kuditect.. hapo nashindwa nifanyaje..
nashindwa kuelewa kama ni nimeshindwa kuistall adb. driver.. Ebunisaidieni
Wiki sasa sijachatika
 
hujachatika na hapa unafanyaje[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] peleka kwa fundi itapona ondoa hofu mkuu
 
Back
Top Bottom