Msaada kwa anayefahamu, nimekwama wakati naweka windows

g vizy

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
899
982
Nahitaji kuingiza window kwenye PC yangu inanigomea naomba msaada
Katika boot device menu kuna vitu vifuatavyo

*onboard sata hard drive
,*onboard or USB CD ROM drive
*system setup
*hard drive diagnostics
*boot to utility partition

Sasa Niki boot hapo kwenye onboard or USB CD ROM drive ili isome window iliyopo kwenye CD inakataa inaniandikia
Selected boot device not available
Strike F1 to retry boot,F2 for setup utility
Niki retry inaniandikia ivyo ivyo nimeshindwa kuelewa mwenye ujuz anisaidie please
 
Unachotakiwa kufanya cha kwanza ni kuhakikisha CD yako ya window ni bootable (ijaribu kwenye pc nyingine)
Then badilisha mpangilio wa PC yako yaani hyo option ya USB & CD ziwe za kwanza. PC nyingi huwa F5 & F6 zinatumika kubadilishia mpangilio huo.
Ukisha fanikiwa itakapo boot na kukopy mafil yote pale itakapo restart toa cd au usb. Ikisha maliza installation ingia tena huko uweke mpangilio wa awali.
 
Vp lens ya CD inafanya kazi? Njia rahisi ni kutumia flash kama cd haisomi.
Cd inasoma kabisa nimeijaribu imekubali kwa maana ya window iliyopo ukiweka cd n lazima isome mkuu sasa tatizo ni kiiboot ili niweke window mpya ndo inaandika hvyo
 
Unachotakiwa kufanya cha kwanza ni kuhakikisha CD yako ya window ni bootable (ijaribu kwenye pc nyingine)
Then badilisha mpangilio wa PC yako yaani hyo option ya USB & CD ziwe za kwanza. PC nyingi huwa F5 & F6 zinatumika kubadilishia mpangilio huo.
Ukisha fanikiwa itakapo boot na kukopy mafil yote pale itakapo restart toa cd au usb. Ikisha maliza installation ingia tena huko uweke mpangilio wa awali.
Sawa mkuu ngoja nijaribu nikishindwa ntakwambia
 
Mkuu Cd pia inaweza ikawa imechubuka ! Unaweza pia kujaribu njia nyingine kama kuiweka kwenye flash na kuifanya iwe bootable badala ya cd au ku run window moja kwa moja toka kwenye pc ila unahitajika uwe na program za magicdisc,magic iso,na cd burner xp ambazo zinapatika kirahisi google
 
Hapo issue ni cd. Kusolve hiyo ishu (ambayo hapo ni kuweka window) create a Bootable USB au tumia software nyingine ku burn hiyo cd. Tatizo hilo lipo sana kwenye window 10 unapotumia old software (software created before window 10) download latest software kwaajili ya kufanya hivyo. Mf. Imgburn, poweriso et c
 
Kuna swali niliuliza nawezaje kufanya bootable USB msaada please
 
Unaweza ukatumia power iso make sure una image ya hiyo OS then format flash yako kisha weka alafu ukifungua power iso s/w tafuta sehemu palipoandikwa create bootable USB then utachagua ulipoweka image yako baada ya dk chache utakuwa umemaliza
 
Back
Top Bottom