Mwenye ujuzi wa kutengeneza umeme wa kinyesi cha ng'ombe anijuze

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
273
Habari za Leo wapendwa
Napenda kujua mwenye utalamu was kutengeneza umeme was mbolea
(Mavi ya ng,ombe anisaidie

Nataka anijuze kuwa anaweza kunitengezea umeme huo kwa tsh. Ngapi

Nimechoshwa na umeme wa tanesco maana haujatulia
 
google mkuu.
hapa maelezo hayatatosha maana inapigi uone na picha za mfano.
ule si umeme bali ni gesi (biogas) na inasafirishwa kwa pipes sio waya.
 
Halafu huo umeme huwezi kuzalisha bila kibali toka mamlaka husika, maana hiyo gesi ni hatari.
 
Kama unaweza nenda katembelee shule ya sekondari ya Baobab iko Mapinga Bagamoyo..wana mradi mkubwa kiasi wa Biogas so probably Wanajua kuhusu Bioelectricity pia..
 
Habari za Leo wapendwa
Napenda kujua mwenye utalamu was kutengeneza umeme was mbolea
(Mavi ya ng,ombe anisaidie

Nataka anijuze kuwa anaweza kunitengezea umeme huo kwa tsh. Ngapi

Nimechoshwa na umeme wa tanesco maana haujatulia

Kama upo Arusha, nenda KAKUTE LTD wapo njiro nanenane
 
Habari za Leo wapendwa
Napenda kujua mwenye utalamu was kutengeneza umeme was mbolea
(Mavi ya ng,ombe anisaidie

Nataka anijuze kuwa anaweza kunitengezea umeme huo kwa tsh. Ngapi

Nimechoshwa na umeme wa tanesco maana haujatulia
Kwa kukusaidia ,mimi naweza kukupa taaluma ya kutengeneza umeme kwa kutumia samadi ya binadamu tu.
 
Wewe jamaa unaonekana mbishi, kuna kitu kinaitwa tafsida au kupunguza makali ya maneno. Kama unaongea na hadhara neno sahihi ni kinyesi, sasa wewe umekomaa na m*vi m*vi.

CC: FaizaFoxy .
Ha ha ha ha ha ha
Nimecheka sana a see!
Kumbe kupunguza makali ya MANENO!
Sawa nimekuelewa mkuu
 
Habari za Leo wapendwa
Napenda kujua mwenye utalamu was kutengeneza umeme was mbolea
(Mavi ya ng,ombe anisaidie

Nataka anijuze kuwa anaweza kunitengezea umeme huo kwa tsh. Ngapi

Nimechoshwa na umeme wa tanesco maana haujatulia
Umeme wa kinyesi cha ng'ombe mkuu una nguvu sana jiandae kwa kuunguza nyumba na vyombo
 
Back
Top Bottom