Msaada: Box za kuflash simu

Msaada: Box za kuflash simu

Bm_boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
547
Reaction score
348
Habari wakuu
Jf imekua msaada kwa watu wengi sana tunao ifaahamu.. Kwakulitambua hilo nami nimeamua kutumia fursa hiyo ila kupata msaada.

Nataka nifungu kaofic kangu kakutengeneza simu, hivyo basi nigependa kupata ushauri ni box gani inaweza kunisaidia kwa kuanzia, pia na vitu gani ninapaswa kua navyo, na nianzie wapi kufanikisha,

Mimi sina aidia yoyote ya ufundi ila ni mtundu naamini nikieleweshwa kidogo nitaweza kufanya vema.

Kwa wanao fahamu pia wanawez kunisaidia ningepaswa kujua nini zaidi katika ufundi wa simu ambacho kingeweza kunisaidi.

Nipo moshi nikipata mwalimu ningeshukuru zaidi.

Ila naamini ushauri wenu ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu.

Wenu katika Ujenzi wa taifa
1000gb
 
Mkuu, kasome VETA ili upate ujuzi wa hiyo kazi unayotamani, ukianza bila ujuzi wowote utaishia kuwaharibia watu simu na kuwaibia pesa zao, maana kama huna ujuzi, utakuwa unafungua simu na kuifunga bila kurekebisha kitu.
 
box zinatofautiana kutokana na manufacture/chipset iliotumika.

mfano kuna box za exynos (samsung), kuna box za mediatek(Tecno, itel na baadhi ya huawei) box za S40 nk hivyo jiangalie eneo lako na wateja wako wapo vipi.
 
Nimekusoma Chief-Mkwawa me nafikiri hizi box za mediatek zingenifaa zaidi.. Na naweza nikapata nikapata aina moja ambayo linaweza solve simu nyingi hizi za kichina.
 
Mkuu, kasome VETA ili upate ujuzi wa hiyo kazi unayotamani, ukianza bila ujuzi wowote utaishia kuwaharibia watu simu na kuwaibia pesa zao, maana kama huna ujuzi, utakuwa unafungua simu na kuifunga bila kurekebisha kitu.

Asante kwa ushauri Mkuu.
 
box zinatofautiana kutokana na manufacture/chipset iliotumika.

mfano kuna box za exynos (samsung), kuna box za mediatek(Tecno, itel na baadhi ya huawei) box za S40 nk hivyo jiangalie eneo lako na wateja wako wapo vipi.
Mambo vip chief naomba unisaidie kaka simu yangu phatom Z iliingia kwenye maji. nikaikausha kwa jua baada ya hapo nikaichaji ikaingiza chaji then ikawaka inawaka yenyewe mpaka kwenye lile neno Tecno then inazima. nikawa nimeiacha ikaisha chaji ikazima sasa nikiweka kwenye chaji haionyeshi kama inaingia chaji, na haiwakai kabisa. na hizi hazifai kutoa betri ili ifae hata kuiboost
 
pengine motherboard imeharibika au ni software tu imecorupt, jaribu kuiflash
 
Msaada chief nimefuta vidio muhim kwenye sim ya samsung note edge sasa nifanye vipi iliniweze kuzipata
 
pengine motherboard imeharibika au ni software tu imecorupt, jaribu kuiflash
mkuu chief mkwawa mi natumia Samsung grand prime na napendaga sana sim inayodisplay operator names kwenye left corner kwenye notification bar kwa kufuatana moja juu ya nyingine kama Airtel
vodacom
naweza kufanyaje hivo mkuu ni duos sim yangu
 
Back
Top Bottom