Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Habari gani? wadau wa Tech,Gadgets&Science forum.Nimekuwa nikisumbuka saana kuinstall whatsapp katika Laptop yangu inadai kama space ndogo inataka 2GB na nikalidhia nikapunguza mzigo ila bado ujumbe ni ule ule...Naomba msaada kwa anae tumia whatsapp katika PC alipitia njia gani?