jamani msaada kwa wenye uelewa na hili suala. Nina laptop aina ya Hp probook 6570. Huwa nikiweka cursor kwenye alama ya bettery inaonyesha hivi
Bettery #1
Bettery #2
Sasa hili betri namba two ni lipi na linawekwa wapi mana mi naona betri moja tu...

Huwa zinawekwa pale kwenye nafasi ya CD, Dvd Rom. Hata dell za zamani zilikuwa na hiyo option ndio maana Cd rom zilikuwa ni rahisi kuchomoa bila kutumia screwdriver
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.