Habari zenu wakuu?
Mimi najitahidi ku install window 8 kwenye desktop yangu aina ya HP compaq inakusanya mafile ila ikijirestart inakuja error namba 2211 yenye maelezo haya 'Memory not configured correctly for proper MEBx execution. Make sure there is a memory module in the black DIMM socket'
So naomba mnishauri nifanyaje??