Nina toshiba portege M400 inagoma kuinstall windows inaonesha ujumbe wa kutoonekana kwa windows install driver. Nikaweka windows katika hard disc yake kwa kutumia laptop nyingine windows ikakubali...
Habarini zenu,
Baada ya ku-update ios kutoka 9.3.1 kwenda v9.3.2 ambayo imekuwa rolled out juzi,na ku-update WhatsApp kwenda v2.16.5 imekuwa ikistack na kushindwa kuendelea.
Nimejaribu kutafuta...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema nauza pc tupu(dell precision t5500)maalum kwa ajili ya game za kisasa na inaweza kufanya editing pia...spec processor xenon 2.8mhz(4cpu)ram4gb,hdd 1t,dvd...
naomba mtu mwenye gemu za GTA v, MAX PAYNE 3, FAR CRY 4 na CRYSIS 3 za pc anijulishe nije nichukue maana kila web nayoingia kuzipakua inashindikana na nimeshindwa kwa mwenye nazo naomba msaada.
Salaam wakuu,
Nimehamishs SD card 4Gb kutoka kwenye simu nilokuwa natumia na kuweka kwenye hii simu nilonayo sasa.
But sizioni image wala links zangu zilokuwemo. Jee kuna namna ya kufanya ili...
M-paper nadhani is the most useful app ya kusoma magazeti online kutoka Tanzania mpaka sasa. Hongereni ila naomba muongeze Na gazeti la mwananchi mtakuwa mmemaliza kabisaa.
Tafadhali na hitaji msaada, nina laptop yangu aina ya Lenovo B570e inashida ya Bios, kila napo takata ku access Bios settings, ina load hukuikisema "please wait.......", Then ina boot normaly...
Habari zenu wakubwa
Ni muda sasa nimekua nikisikia watu wanasema kuhusu ku root cm lakini sielewi kwasabababu ni mgen katika hivi vitu hivyo jamani nlikua naomba mwenye ufahamu na hivi vitu...
Leo katika kuhamisha vyombo nimekuta tv yangu imecrack na haioneshi kitu!!
Naomba msaada wapi nitaweza replace hiki kioo na gharama zake!!
Natanguliza shukrani!
wakuu habari yenu, ninatumia pc aina ya dell. nikisearch devices kwa wireless (wifi) device znaonekana ila niki connect wanaandika NetworkUx.ViewModel.SettingEntry. na hata setting hazifunguki...
Hii habari imendikwa kwenye gazeti la Mwananchi leo tarehe 10/04/2016. Sina uhakika ina ukweli kiasi gani, hasa mwandishi anapodai kwamba lazima IMEI kwa kila simu original ianze na 35 ndipo...
Habari za mida .
Katika matumizi ya kawaida ya pc yangu imepatwa na shida hii ambayo mpaka sasa sijajua nini tatizo au chanzo.
Kwa muda nimetumia kucheza games, kusomea na kuvinjari.
Hivi sasa...
Wanajamvi habari za Leo
Natumai mu wazima wa afya
jamani leo naomba msaada namna ya kujiunga skype maana najaribu nashindwa
Namna ya kuandika majina yanatakiwa yawe na maneno mangapi (hasa...
Wana body salaaam, Leo nimeingia humu kuomba msaada Nina modem ambayo inanisumbua jinsi ya kutumia najaribu kuweka line lkn inasema sim not supported lkn ni universal anayefahamu naomba msaada