topmaskarey99
Member
- Jun 2, 2016
- 37
- 16
Waungwana samahani anaejua wapi naweza kuipata hii kickass torrent app ya kudownload movie anisaidie
asanteh mkuuHuna haja ya kuwa na kickasa torent..utorrent inatosha. Ukiwa na settings za utorrent then ingia kwenye browser yako type kickas torrent ingia..then chagua unachotaka ku download itakudirect moja kwa moja kwenye dowloader yaani utorrent. ..don bother kuitafuta kickass