N Nyigana Senior Member May 5, 2012 105 12 Jun 8, 2016 #1 Naomba msaada wa kujua sehemu wanapotoa kozi nzuri ya computer maintenance kwa dar es salaam. Nawasilisha.
Naomba msaada wa kujua sehemu wanapotoa kozi nzuri ya computer maintenance kwa dar es salaam. Nawasilisha.
Biobenga JF-Expert Member Nov 18, 2014 394 533 Jun 9, 2016 #2 Veta wanatoa hyo course, tembelea veta upate maelezo zaidi.