Ni simu ipi nzuri

mrs fiance

JF-Expert Member
May 24, 2016
352
163
Nahitaji kununua simu nina kiasi cha sh: 200,000 naweza kupata simu ipi nzuri kwa hela hiyo.

Mawazo yenu ni muhimu
 
Nahitaji kununua simu nina kiasi cha sh: 200,000 naweza kupata simu ipi nzuri kwa hela hiyo.

Mawazo yenu ni muhimu

Kama mimi ni wewe kwa hiyo bajeti ningetafuta Microsoft Lumia 435 DS , ni simu ya window 8.1 upgradable to win 10, Ram 1GB, HDD 8GB , double line . Ni simu ambayo sio yebo yebo sana hata hazipo sana mitaani ingawa camera yake ni ndogo.
 
Mmh!!! Kumbe kuna tecno copy!! Maajabu aya!!! Simu zisizo na ubora ina copy yake!! Hiyo copy cjui itakuaje?
Matunzo 2 brow mm mwaka wa pili unakaribia sasa na nafurahia kweli kula bata
 
Kama mimi ni wewe kwa hiyo bajeti ningetafuta Microsoft Lumia 435 DS , ni simu ya window 8.1 upgradable to win 10, Ram 1GB, HDD 8GB , double line . Ni simu ambayo sio yebo yebo sana hata hazipo sana mitaani ingawa camera yake ni ndogo.
camera ndogo haiwezi kupiga pic vizuri?
 
Iwe na camera nzuri, iwe na uwezo mkubwa. Iwe na speed.na vingine vyote ambavyo cm za and road zinatakiwa kuwa navyo.
kwa 250,000 chukua lumia 535 camera 5mp, ram1gb, internal8gb iko fasta mno achana na mitekno na huawei inasumbua sometime. picha ni kali sana selfo 2mp window.8 upgradable to window10 yan ina mambo mazuri mno zpo line moja na double line.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom