Tigo, Airtel, Voda wajiandae: Mtandao wa simu utakaotumia nguzo unakuja

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,907
43,821
Mtandao wa simu utakaotumia nguzo kupitisha wire zake nchi nzima upo njiani.., hatua ya kwanza ya uzalishaji nguzo ndio upo kwenye maandalizi, zitatumika nguzo za zege. speed yake ya internet itakuwa ni sawa na kuhamishia movie kwenye flash disk.Made in China, jina kapuni kwa sasa
 
Tushajua jina kitambo
Ni
Mberetel.
 
Mtandao wa simu utakaotumia nguzo kupitisha wire zake nchi nzima upo njiani.., hatua ya kwanza ya uzalishaji nguzo ndio upo kwenye maandalizi, zitatumika nguzo za zege. speed yake ya internet itakuwa ni sawa na kuhamishia movie kwenye flash disk.Made in China, jina kapuni kwa sasa
Unaitwa coco tel
 
Kwa sasa wired connection zina manufaa sana hasa kwa ishu za speed compared to wireless.., pia ina uwezo wa kuhudumia volume Kubwa zaidi
Yeah, ndio maana mitandao mingi inaanza kutumia fibre optics kufanya network transmission. Wired network ni bora mara mia kuliko wireless connection especially in long range.
 
Bei zao zikiwa nafuu ndio hawa wataogopa lakini kwa Tanzania hii ninayofahamu mimi yamekuja makampuni mengi sana lakini yote ayajaweza kuwa tikisa hawa wakongwe.

Wired connection itakuwa expensive kuset up kwenye nyumba za watu hata halotel wanaweza kukuwekea fibre kwako lakini tatizo bei, pia Ttcl wana Adsl service pia ambayo ni wired lakini bado sio watu wengi wanaitumia.

Kwa kifupi huu mtandao utakuwa kwa watu wachache sana kama Smile, Raha broadband, Simba Net, na Maisha broadband. Kutikisa kina Vodacom sio leo.
 
Mtandao wa simu utakaotumia nguzo kupitisha wire zake nchi nzima upo njiani.., hatua ya kwanza ya uzalishaji nguzo ndio upo kwenye maandalizi, zitatumika nguzo za zege. speed yake ya internet itakuwa ni sawa na kuhamishia movie kwenye flash disk.Made in China, jina kapuni kwa sasa

watz sie watu wa kudanganywa sanaa sijui kwanini? kuna mtu aliyetuaminisha kama pinda na mtandao wa halotel??? yaani mzee alikuwa mpaka anataka kulia jinsi anavyoutetea bungeni....ooh eti utakuwa ni mtandao wa bei rahisi ili wakulima waweze kumudu vocha....pili ooh eti halotel wataleta smart phone za bei rahisi original itakuwa haizidi elfu 60.... haya yakowapi????
 
Walichofanikiwa Holatel ni kusambaa maeneo mengi ya vijijini ila kwa wa gharama hakuna the tofauti Na vingunge Voda Na wenzie
 
Back
Top Bottom