mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Wakuu uwa natumia decoder ya azam kuangalia video kama nyimbo na movie kupitia memory card yangu,lakin cha kushangaza nikiwa naangalia movie uwa zikifika kati zinagoma kuendelea kuplay,lakini video za nyimbo uwa azifanyi hivyo tatizo linaweza kuwa nini