Msaada kwenye tuta

Lusajo11

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
1,887
1,962
Wadau salaam,

Nipo hapa natuma attachments kwenye e mail nikisend napata ujumbe huu
"To prevent abuse, your message cannot be sent now. If the message contains only a link, please add some text to it. This helps us fight spam. If it still cannot be sent, please modify the message or try again later. Sorry for the inconvenience."

Sijawai kupata tatizo kama hili. Msaada tafaadhali
 
Watakaopata tatizo kama hili, Gmail is the winner. Nilisahau kuwa nina gmail account ninayotumia kwenye android. Yahoo miyayusho sana
 
Back
Top Bottom