Msaada kuhusu Laptop inayogoma kusoma USB drives, wireless network na DVD drives

Wakuu habari ya asubuhi? Poleni na mihangaiko ya maisha na kujitafutia ridhiki.
Nina computer yangu aina ya TOSHIBA SATELLITE L500 ambayo nilinunua mpya miaka mitatu iliyopita, lakini miezi miwili iliyopita ilianza ghafla kutodetect USB wala CD na pia haidetect available WiFi networks, naomba msaada wenu jinsi ya kutatua au kumaliza tatzo hilo kwan ina document zangu nyingi nashndwa kuitumia wala kuzihamisha, naomba kuwasilisha
Update driver mkuu tumia hii software make sure umeweka modem ili kuwa connected na internet kisha install na run hii software
http://dw.html.it/index.php?softnam...ode=1465199683&q=OTMwOTN8ZHJpdmVyLWJvb3N0ZXI=
Tumia
 
Wakuu habari ya asubuhi? Poleni na mihangaiko ya maisha na kujitafutia ridhiki.
Nina computer yangu aina ya TOSHIBA SATELLITE L500 ambayo nilinunua mpya miaka mitatu iliyopita, lakini miezi miwili iliyopita ilianza ghafla kutodetect USB wala CD na pia haidetect available WiFi networks, naomba msaada wenu jinsi ya kutatua au kumaliza tatzo hilo kwan ina document zangu nyingi nashndwa kuitumia wala kuzihamisha, naomba kuwasilisha
vp hz usb driver zinagoma kivp yaan
sometimes zinagom yaan ukiw unaweka usb wire aisom kama n device lkn inapitisha chaj,ss ww inagom kvp, Mkuu
 
Hujambo mjukuu wangu??

Kama USB , CD , Wireless vyoote havisomi unachotakiwa Fanya badili disk yako weka kwenye computer nyingine kisha backup data zako na badilisha OS update drivers kisha rudisha disk kwenye computer yako.

Asante
Babu Kifimbo Cheza
 
Kaka badilisha os hope unatumia windows 10 vumilia tuu hayo n baadhi ya matatizo yake
 
Wakuu habari ya asubuhi? Poleni na mihangaiko ya maisha na kujitafutia ridhiki.
Nina computer yangu aina ya TOSHIBA SATELLITE L500 ambayo nilinunua mpya miaka mitatu iliyopita, lakini miezi miwili iliyopita ilianza ghafla kutodetect USB wala CD na pia haidetect available WiFi networks, naomba msaada wenu jinsi ya kutatua au kumaliza tatzo hilo kwan ina document zangu nyingi nashndwa kuitumia wala kuzihamisha, naomba kuwasilisha

Toshiba Mara nyingi uwa zinapatwa na tatizo Hilo pale unapokua umefanya installation ya os je wewe ukubadili os
2:hiyo Toshiba wame recommended kutumia os gani mana nyingi uwa Ni za Asia na recommended in Windows 8.1 so unapobadili uwa hivyo mana nishakutana na Toshiba zaidi ya 1 zenye matatizo hayo
 
Back
Top Bottom