Msaada wakuu hii Computer aina ya Sony VAIO Z Canvas

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Nimekuta inauzwa SH. 6,300,000 Naomba msaada kwa wajuzi what is so special katika hii Computer
14ecc2b6232255a63df5b430b0bdf47b.jpg
 
specs zake? sababu ipo amazon dola 999 ina i7 quad, 256gb sdd na ram 8gb ambayo ni fair kwa hio bei, huenda hao wanaouza milioni 6 wanataka tu kuwaingiza watu mjini
 
specs zake? sababu ipo amazon dola 999 ina i7 quad, 256gb sdd na ram 8gb ambayo ni fair kwa hio bei, huenda hao wanaouza milioni 6 wanataka tu kuwaingiza watu mjini
Mkuu, Me Nimepata Kma Hiyo Kwa Milioni 1.7.
 
Back
Top Bottom