Bosi kanipa PDF link kuedit ili Website iupdate, naanzia wapi?

Jun 2, 2016
36
10
Wana teknolojia mlioko hapa,

Naomba msaada wa dharura. Bosi kanipa link ambayo ni Website version ya PDF, anasema uki-update kule Website pia ita update. Sasa naanzia wapi, je hakupaswa kunipa vitu k.v. Login detailss, au cPanel nk? Link ni ya HTML kwa ajili ya kuupdate hiyo Website.

Asanteni
 
Fungua iyo pdf yako then control all text kwenye pdf uliyopewa then copy baada ya kukopy fungua microsoft word nyingine hapo unapaste ile kazi from pdf
then unauwezo wa kuedit sasa na mara baada ya kuedit wakati wa kusave iyo ms word yako save as pdf then your over
 
mkuu Umesoma IT chuo gani ?! kama si fani yako kaa pembeni toa nafasi kwa wenye fani zao usije ukavuruga
 
Mkuu Chief-Mkwawa njoo uokoe jahazi huku....

Kibarua cha mtu kinaota nyasi.
 
Fungua iyo pdf yako then control all text kwenye pdf uliyopewa then copy baada ya kukopy fungua microsoft word nyingine hapo unapaste ile kazi from pdf
then unauwezo wa kuedit sasa na mara baada ya kuedit wakati wa kusave iyo ms word yako save as pdf then your over
Bosi kanipa link, nimeifungua kwenye Browser, anasema...niedir hiyo PDF from that link, halafu automatically Website itaupdtae. Ina maana hii document inaweza kuwa ipo kwenye Server...ndio maana nikasema hakuna kinachomisi? kwamba either alipaswa anipe access ya kwenye server/ cPanel nk? msaada wako tafadhali
 
mkuu Umesoma IT chuo gani ?! kama si fani yako kaa pembeni toa nafasi kwa wenye fani zao usije ukavuruga
Bosi kanipa link, nimeifungua kwenye Browser, anasema...niedir hiyo PDF from that link, halafu automatically Website itaupdtae. Ina maana hii document inaweza kuwa ipo kwenye Server...ndio maana nikasema hakuna kinachomisi? kwamba either alipaswa anipe access ya kwenye server/ cPanel nk? msaada wako tafadhali
 
Kaka haueleweki, na bora kwanza ungemuuliza bosi maswali kadhaa hadi uelewe kinachohitajika kabla sisi tukusaidie. Kwa website ku-update automatically, labda itakua na script inayosoma hiyo pdf link na kuchukua taarifa zenyewe halafu inaziweka kwenye website.
Hapa lazima mweneyewe uelewe unachohitaji kwanza, mfuate bosi na kumuuliza zaidi, yeye ni binadamu usimwogope...lol
 
Huyo bosi wako ni kimeo, ungekuwa unaweza kuedit PDF kwa kuifungua kwenye link kungekuwa na usalama kweli? Inabidi akupe url ya admin page,login za admin area ya hiyo website inaweza iakawa cpanel au tofauti kutegemea na site imetengenezwa vipi na una access gani.

Then akupe original document iliyotumika kutengeneza hiyo PDF hii iwe kwenye format ambayo ni easily editable kama Word.

Kisha ukishaedit utasave kama PDF utaiupload kwenye site.
 
wewe na bosi wako mnazingua uwezi ku update website bira kuwa na login details na cpanel
 
Wana teknolojia mlioko hapa,

Naomba msaada wa dharura. Bosi kanipa link ambayo ni Website version ya PDF, anasema uki-update kule Website pia ita update. Sasa naanzia wapi, je hakupaswa kunipa vitu k.v. Login detailss, au cPanel nk? Link ni ya HTML kwa ajili ya kuupdate hiyo Website.

Asanteni

Mi nadhani hamjaelewana na boss wako.
Labda anataka uchukue tu hiyo pdf download then edit. Lakini kukupa download link alafu akategemea uiedit then ibadilike moja kwa moja kwenye website ni kitu ambacho hakiwezekani.

Kama ingekua ni document iliyopo kwenye google drive labda ambayo umelogin wewe au ni groupwork na wewe upo kwenye group basi ungeweza kuedit na ikabadilika pote, japo sidhani kama wanatuhusu online pdf editing.

Kama ni site ya kawaida, basi nenda kwa boss wako muulize tena kama anataka uedit na kusave tu au kama ni kuedit na kuliupload tena kwenye site basi akupe login credentials za admin account ya website ili baada ya kuedit ulichukue file uliweke kwenye server.

Zaidi ya hapo hakuna njia nyingine yoyote ile. Ili kukurahisishia maisha unaweza share link tukaiona, au kama sio link yote basi tupe tu base link peke yake, namanisha www..... com kuachana na zile / za mbele
 
Wana teknolojia mlioko hapa,

Naomba msaada wa dharura. Bosi kanipa link ambayo ni Website version ya PDF, anasema uki-update kule Website pia ita update. Sasa naanzia wapi, je hakupaswa kunipa vitu k.v. Login detailss, au cPanel nk? Link ni ya HTML kwa ajili ya kuupdate hiyo Website.

Asanteni
Uwezi fanya marekebisho yoyote kama ww sio Administrator au Mhusika kama hauna taarifa za kuingia kwenye Hostage ya website yenu(Log in details) .
Chakufanya download hiyo document then hii convert from pdf to word in case of word docs then fanya marekebisho harafu ukimaliza save as pdf file, ndio, uka update kwenye Website Hostage ili ya zamani itoke ije mpya.
N/B: Mpaka uwe na Log in detail za hostage ya website yenu.
 
Back
Top Bottom