Msaada kwenye app hizi za whatsapp

Aug 25, 2013
26
3
Nmkutana na app kama tatu za watsap zoote hizo hazipo play store features zake ziko superb xaaanaaa,nlkuwa naomba wataalamu wansaidie ipi ni bora zaidi ya nyingne

Watsap plus
Watsap gold
Watsap gb au gbwatsap
 
Kwhy kama kuna ile nyngn ya kawaida unadelete au?
Hapana mkuu....hii ukiweka unakuwa na uwezo wa kutumia no mbili tofauti za simu......mfano ile ya playstore unweza weka no ya airtel alfu hii gbwhatsapp unaweza weka no ya tigo
 
Mie ninaitumia iko vizuri ila jinsi ya kufanya nitumie line mbili ndo mtihani
 
Sawa mkuu
Sasa mkuu inabid uwape watu course ya lugha ya kiarabu kabla hawaja install hyo app maana iko na version ya kiarabu

Mm kdg alhamdulillah nakipata kdg, hata hvyo siwez kupakua hyo app

Kwaher, karib sana mkuu!
 
Wala haihitaji course bro.....ni kitu cha kufuata maelkezo tu.....ukishadowload ukinstall ni rahsiii xana coz ni kingereza na settingz ni za whatsapp ya kawaida.....
 
Mie ninaitumia iko vizuri ila jinsi ya kufanya nitumie line mbili ndo mtihani
Uwezi tumia line mbili kwnye hyo hyo gbwhatsapp lazima uwe na whatsapp utkayodowload ktoka play store.....hapo kila whatsapp utweka no yake......
 
Back
Top Bottom