Msaada wa kufungua simu iliyofungiwa na McAFEE Mobile Security

kombwe

Member
Feb 17, 2015
76
27
Wakuu habari.

Nina simu LG g3, nilikuwa safarini nikawa na mapumnziko ya siku 2 mjini Maputo, ambako niliuziwa hiyo simu niliyoitaja hapo juu.

Baada ya kuitumia kwa muda wa kama wa mwezi mmoja, simu ikafungwa na mtu aliyesemekana ndiye aliyekuwa mmiliki wa awali na simu inadai password.

Sasa wakuu kama kuna yeyote anayefahamu vizuri hii kitu, achangamkie huu mchongo, kama atakuwa Dar ndiyo vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom