Jinsi ya kuswitch 2g kwenye Huawei y530

Jinsi ya kuswitch 2g kwenye Huawei y530

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,997
Reaction score
2,577
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,langu ni moja tu naombeni msaada wa kuswitch 2g kwenye huawei tajwa hapo juu.

Nawasilisha

Asanteni.
 
Habari zenu wadau wa jukwaa hili,langu ni moja tu naombeni msaada wa kuswitch 2g kwenye huawei tajwa hapo juu.
Asanteni.
Nawasilisha

simu nyingi huwa ni settings>>>>>More>>>>>Mobile networks

kisha chagua GSM Only au 2G only iondoe WCDMA prefere/only
 
simu nyingi huwa ni settings>>>>>More>>>>>Mobile networks

kisha chagua GSM Only au 2G only iondoe WCDMA prefere/only

Hii simu inasemekana haina hiyo option..iko fixed kwenye 3g peke yake..mwenye kuitumia please atuambie jinsi ya kuswitch kwenda 2G/Edge Only maana kuna mtu yuko eneo ambalo hamna 3G basi inaandika No service, ipo tu anacheza games no mawasiliano.
 
Attachments

  • 1414826695505.jpg
    1414826695505.jpg
    39.9 KB · Views: 170
  • 1414826716650.jpg
    1414826716650.jpg
    19.9 KB · Views: 146
nenda setting- mobile network - network prefers - halafu search network available itakuletea
 
Fanya hivi nenda kwenye setting then mobile network then endelea kwa mfano wa picha
 
Attachments

  • 1422458125752.jpg
    1422458125752.jpg
    21 KB · Views: 117
  • 1422458165026.jpg
    1422458165026.jpg
    29.1 KB · Views: 115
Back
Top Bottom