Msaada Dell XPS M1730.

Msaada Dell XPS M1730.

Babuj96

Senior Member
Joined
Mar 26, 2016
Posts
136
Reaction score
54
Laptop yangu ya Dell xps inamatatizo ya kutoonyosha inapopata moto na pia feni zke zote mbili hazizunguki kama kabisa yani.

NB. Ilikuwa ndani kwa muda mrefu kama miaka 3, kwani ilikosa adapter yke ila baada y kupata imeanza matatizo.

Naambatanisha link y video ambayo inaoonyesha marekebisho ya hlo tatzo, kama kuna mtu yoyote ambaye ataweza kunielekeza sehemu ya kwenda kutengeneza au yeye kama anaweza kutengeza pamoja n bei yke au spea kama zpo tunaweza fanya mawasiliano;
0659699314

Link ya video
m.youtube.com/watch?list=WL&v=_dOJDRTXaQw
 
kaisafishe mkuu, vumbi tu linaweza sababisha hayo uliyoyataja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom