Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 407
Habari ya Jumamosi wana JF.
Miezi miwili iliyopita nilinunua Desktop kwenye duka linaloitwa Alasco Computers lililopo mtaa wa Uhuru Kariakoo. Ndani ya PC waliweka window 8 ambayo ilikuwa ya trial, sasa siku wiki mbili zilizopita imeanza kudai activation. Sasa ninampango kuondoa hii window niweke nyingine lakini kila nikitaka kuingia kwenye boot menu inadai password. Nilivyonunua sikupewa Password yoyote na Mawasiliano ya dukani nimepoteza na nipo mkoani. sasa inaniwia vigumu kubadili hii Windo iliyoisha muda wake.
Naomba kwa yeyote anayeweza kunielekeza jinsi ya kuondoa hii password ili niweze kubadilisha hii window.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.