Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

Tatizo la plugged in, not charging kwenye computer linatatuliwa vipi?

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Huo ni ujumbe ninaoupata ninapolocate pointer kwenye icon ya battery, sometimes inacharge na sometimes haicharge. Nimejaribu ku-uninstall and ku~reinstall ACPI nikidhani kuwa inaweza kuwa corrupt lakini sijafanikiwa. Msaada wa haraka plz, nisaidieni viongozi
 
Mkuu Mimi pia nilikuwa na shida hiyo nadhani ni kuchoka kwa betri hebu Fanya kuitoa kama Dk 5 hivi halafu jaribu kuweka chaji (desktop mode) uone kama inaingiza...then rudisha betri ..

Mimi sio Mwana IT nimekupa uzoefu wangu tu. subiri waje wenyewe.
 
Toa betri kwanza, chomeka adapter.washa pc, nenda device manager halaf uninstall drivers za AC adapter, zima pc, chomoa adapter, rudisha betri drivers ztakua installed automatically. chomeka adapter kuchaji. ukifanya hvyo nipe mrejesho
 
muda mwingne kama betri yako ishajaa about 98%, unaweza ukapata huo ujumbe, hyo ni kawaida. chomoa adapter mpka chaji ikipungua rudisha adapter.
 
Nimefanya hivyo haijasaidia
 
muda mwingne kama betri yako ishajaa about 98%, unaweza ukapata huo ujumbe, hyo ni kawaida. chomoa adapter mpka chaji ikipungua rudisha adapter.
Nimeacha betri ikadicharge mpaka zero% lakini haikusaidia pia
 
Toa betri kwanza, chomeka adapter.washa pc, nenda device manager halaf uninstall drivers za AC adapter, zima pc, chomoa adapter, rudisha betri drivers ztakua installed automatically. chomeka adapter kuchaji. ukifanya hvyo nipe mrejesho
Haijasaidia kiongozi
 
I think I can help na ukiendelea kupata tatizo tutawasiliana..The problem ni ktk adapter na siyo pc.. Kwa jinsi umeme unapo flow kwenye pc unafanya adapter kucheamka sana hivyo kutopeleka umeme wa kutosha ktk pc yako...

Suluhisho ni kutafuta adapter nyingine tena iwe ni original ya komputa husika!

Hakikisha haichemki sana, na hata inapokuwa inachajiwa hakikisha ipo chini kabisa, ikibidi kwenye cement au sehemu ambayo haiongezi joto kabisa! Usiweke kwenye plastics, godoro au foronya na sehemu zenye moto mkali..

Sina maana kuwa adapter imekufa, lahasha itakuwa na uwezo wa kupitisha umeme ingawa utaingia kidogo kidogo sana...

Kama unahitaji kutumia hiyo hiyo adapta.. Basi usichaji wakati (komputa)inatumika.. Izime kisha chomeka ktk charge!

Kama haitasaidia basi unaweza ukapata msaada zaidi kwa kupiga namba 0784474122 au email; maedson06@gmail.com! Karibu, tafadhali upige iwapo unataka kujua na siyo vinginenyo

BBZ10
 
Haijasaidia kiongozi
Mkuu kama solutions za juu hazijatatua tatizo, bas ujue tatizo ni betri. Betri inaelekea kufa, ungekua na Multimeter ningekushaur upime voltage inayotoka kwenye adapter kuingia kwenye laptop kuhakikisha kuwa adapter si tatizo au unaweza kutumia same adapter kuchaji laptop nyingne kama hyo.
 
Back
Top Bottom