Window

kucy

Member
Jan 6, 2013
41
10
Naomba mnifahamishe jinsi ya kurudisha old window kwenye PC HP coi5, mwanzo nilikuwa natumia window 7pr nika-upgrade to window 10 so naona inanishinda kutumia, naomba maelekezo ili nirudshe window 7 ya zamani.
 
Usirudi nyuma, jifunze kutumia window 10 kwa sababu microsoft wanajiondoa taratibu kwenye kuisupport window 7 kama vile kutoa security na baadae wataifungia na kuifuta kabisa kama walivyofanya kwenye window za nyuma za 2000,1995 e.t.c!!......usirudi nyuma, jifunze kutumia na kuupdate window 10,technologia inavyoenda mbele wewe usirudi nyuma kamwe!
 
Asante kwa ushauri
 
Naomba mnifahamishe jinsi ya kurudisha old window kwenye PC HP coi5, mwanzo nilikuwa natumia window 7pr nika-upgrade to window 10 so naona inanishinda kutumia, naomba maelekezo ili nirudshe window 7 ya zamani.
Sikushauri uitoe hiyo window 10 kama ni orijino!!! Ni kweli itakusumbua mwanzoni ila nda ukipita utaizoea......bottom line usiitoe
 
Naomba mnifahamishe jinsi ya kurudisha old window kwenye PC HP coi5, mwanzo nilikuwa natumia window 7pr nika-upgrade to window 10 so naona inanishinda kutumia, naomba maelekezo ili nirudshe window 7 ya zamani.
Kama hiyo windows ilikuja na PC yake ili kuirudisha unaweza kufanya PC resetting na hapo itakurudisha kwenye windows iliyokuja na PC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom