Mkulubilanga
Member
- Sep 23, 2013
- 40
- 16
Ndugu wadau kwanza habari zenu naomba msahada kwa anayekumbuka kudownload software mpya baada kuamisha position dish la zuku tafadhali
sikubaliani na wewe...typing error kwenye kichwa cha habari na kwenye maelezo pia kwa neno lile lile?Kama mume elimika kuna kitu kinaitwa typing error sasa shida iko wapi
Kama mume elimika kuna kitu kinaitwa typing error sasa shida iko wapi