Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Habari ndugu zangu, mwenye key za ms office 2013 naomba anisaidie maana lap top yangu nilinunua na wakanifanyia installation ya ms office, sasa inaniletea sms ya kutaka ni activate na bado siku mbili tu. Sijui nini kitatokea kama sita activate. Mwenye keys naomba