Uko mkoa ganiGsm forum nilishaingia lakn sijapata mafanikio nadhan nahitaji msaada wa ana kwa ana!
Nafikir wenye ujuz walio Mwanza watakusaidiaNipo mwz!
NakupmWengi huku wanatumia miracle volcano wanasema linazingua kama unaweza kunisaidia nisaidie kwani upo wapi!?