Sio kweli. Akifuata hayo maelezo, atakuwa anabadilisha number na si kutumia Apps mbili za whatsapp kwenye sim moja.Nenda setting hapohapo kwenye whatsapp utaona neno account change account itakuletea simu namba ingiza iliyokuwa inatumika na badilisha kwenda namba unayotaka kw.muda huo
Asante mkuu ngoja nijaribuuhttp://www.mediafire.com/download/oaf5gpg97fj77dm/GBWA+v4.16-2.12.453+@atnfas_hoak.apk
Download hiyo GBwhatsapp kisha install
Nimefikiaa hapa mkuu,, nafanyaje![]()
Mkuu,, ilikuwepo ya kawaida ila nilivoinstall uliyotuwekea link ikanidirect ila nilivoinstall ikagoma ,, nikaunstall ndo nkajaribu iyo still ina gomaKuna whatsapp plus nyengine kwenye sim yako ambayo ina file sawa na la GBwhatsapp.
Una whatsapp plus gani unayotumia. Ukiacha ulio download kupitia play store?
Sio WhatsApp plus nyingine ipo kwenye simu, tatizo ni WhatsApp original bado simu inaona ina exist hata baada ya ku uninstall, kwahiyo anapojaribu kuinstall hiyo plus inagoma.Kuna whatsapp plus nyengine kwenye sim yako ambayo ina file sawa na la GBwhatsapp.
Una whatsapp plus gani unayotumia. Ukiacha ulio download kupitia play store?
hiyo original sio tatizo. labda hiyo link imemletea Original whatsappSio WhatsApp plus nyingine ipo kwenye simu, tatizo ni WhatsApp original bado simu inaona ina exist hata baada ya ku uninstall, kwahiyo anapojaribu kuinstall hiyo plus inagoma.
Ndio mkuu imeniletea original whatsapp ,, nifanyeje mkuuhiyo original sio tatizo. labda hiyo link imemletea Original whatsapp
View attachment 335169 View attachment 335170
Nitumie email address yako nikutumie hiyo appsNdio mkuu imeniletea original whatsapp ,, nifanyeje mkuu
Nataka nikutumie Apps yenyewe. We nikudownload kwenye email yaka na kufanya installationNimetuma via sms mkuu