Nifanyaje ili earning iongezeke adsense

dollar 0.5
ok nimecheki blog yako, kuna madhaifu mengi sana.. kwanza kwenye kiswahili matangazo hayatokei, hiyo template unayotumia hairuhusu kiswahili ili google ads zitokee.. pia inabidi uweke matangazo ya kusimama.. ni vitu vingi but cha muhimu badili hiyo template kwanza coz hapa huwezi kupata chochote.. trick nyingine zipo deep kidogo but anza na hiyo kwanza utaona mabadiliko makubwa
 
Hellow wadau blogger wenzangu nina kijiblog changu ambacho tayari nishakiwekea ADSENSE, but eanings ni ndogo sana ,so naomba kunijuza nifanyaje ili earning iongezeke.coznow sipati kitu cha kutosha kabisa mtilah.blogspot.com
Niuzie mimi hiyo blog.
ok nimecheki blog yako, kuna madhaifu mengi sana.. kwanza kwenye kiswahili matangazo hayatokei, hiyo template unayotumia hairuhusu kiswahili ili google ads zitokee.. pia inabidi uweke matangazo ya kusimama.. ni vitu vingi but cha muhimu badili hiyo template kwanza coz hapa huwezi kupata chochote.. trick nyingine zipo deep kidogo but anza na hiyo kwanza utaona mabadiliko makubwa
ok asante kwa maelekezo,but naomba unielekeze template ipi mzuri niiweke. then naomba nipatie namba yako
 
ok asante kwa maelekezo,but naomba unielekeze template ipi mzuri niiweke. then naomba nipatie namba yako
template nzuri ambayo inakubali kiswahili ni zote zinazotumia code za nirvana, but hazima mwanekana mzuri sana kuna tempate moja nzuri 2way theme but jina lake limenitoka kidogo.. nitakujuza baadae.. also nilitaka nikuulize unapata watembeleaji wangapi kwa siku??
 
napata watembeleaji wastani ni 1200 kwa siku
 
Kuongeza ads hazitokusaidia chochote. Visits 1200 kwa siku hata hiyo 0.5 ni either mtu ameclick ad au unatudanganya.
Njia ya pekee hapo ni wewe kutafuta traffic tu, blog yako uwepachika matangazo ya ovyo mengi sana pale juu ambayo ni unnecessary, usianze kupachika ati tangaza nasi wakati hata traffic huna. Futa juu hapo sijui dr. chen sijui nani coz umeweka huku hawakulipi chochote, baki na adsense then tafuta original content na ujitangaze kwenye social media kuvutia watu. Unahitajiufikishe impressions angalau 50K+ kwenda juu kwa siku kama unataka kuona angalau hela kidogo.
Hizo 1200 hata uweke matangazo mia huchomoki
 
Back
Top Bottom