C client3 JF-Expert Member Aug 6, 2007 2,331 3,187 Jun 24, 2016 #1 Nimetuma msg kwa njia ya what's app Inanipa ujumbe huu, nitegemee nini?
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,157 Jun 24, 2016 #2 Mie mwenyewe huwa naupata hata sielewi atiiii
Kidamva JF-Expert Member Dec 3, 2013 2,578 1,984 Jun 24, 2016 #4 Ni mfumo mpya Wa ulinzi kwa wateja wa Whatsapp, inamaana ujumbe wako hauwezi kudukuliwa na mtu
C client3 JF-Expert Member Aug 6, 2007 2,331 3,187 Jun 24, 2016 Thread starter #5 Ahsanteni nimewapata