Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,371
- 4,847
Wanajukwaa habari,
Katika ulimwengu huu wa simu janja kumekuwa Na simu janja mbalimbali zitumiazo mifumo mbalombali ya kiuendeshaji Kama vile simu za androids ,iphone Na mfumo wake wa IOS pamoja Na windows phone hasa kwa Microsoft Na Nokia Lumia pia .
Sasa upande wa androids watu wengi tunauzoefu Na mfumo wa simu za androids ambao kila mmoja anajuwa nini kilichopo huko.Ninapozingumzia windows phone kwa upande Wangu nakuwa namuundo wake Na uwezo wake wa kuinjoy vitu Kama Cortana Na uwezo wa kuping kila kitu kwenye home screen Na baadhi ya majonjo mengi ambayo nayafurahia Kama kua Na youtube nzuri kabisa mfano stream tube,metro tube Na nyinginezo .Hivyo kwangu pia na enjoy Na kuukubali mfumo wa widow kutumika kwa Microsoft .
APPLE .Ninapokuja kutizama au kuzungumzia simu za kampuni ya apple (iphone) huwa sielewi chochote kwani sijabahatika kutumia zaidi ya kuziona kwa wenzangu tu.Hivyo ningependa juzwa hawa jamaa umaarufu Wao ukoje hasa je ? Aidha os yao Ni nzuri zaidi kushinda androids Na windows ? Store yao Ina application zipi amaizing ambazo pengine ndio kivutio cha watu kuzipenda? Ni nini hasa zaidi kilichomo ndani ya iphone kinachoifanya ijipatie heshima ya kipekee zaidi ya simu za mifumo mingine ?Wanajukwaa tusaidiane kwa kutoa maoni hasa kwa wale ambao wanazielewa iphone Na pengine wametumia mifumo yote tajwa hivyo wanaa experience NaOS zote Ni hayo tu .
ASANTENI