WI-Fi ni nini????

WI-Fi ni nini????

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,335
habari
jamani mimi natumia tecno n7 sas sielewi matumizi ya Wi-Fi na nikitaka kuitumia nafanya nini???? kiukweli i know nothing about it naiona tuuu ipo ila siielewi kabisaaaaa naomba mnifafanulie kwa kina na mnielekeze jinsi ya kuitumia
asanteni

images
 
Wi-Fi (wireless fidelity)
.
Nisikuchanganye sana kaka, kama ulvyosema wewe sio It
.
Hii Wi-fi inakuwezesha kupata asses ya Internet, kama sehemu/mtaa/ofisini unapo kaa pana HOTSPOT,
.
nisikuchanganye hotspot, ni sehemu ambapo Wi-Fi Ipo accessible,
.
Kwa mfano kama wewe hapo unaweza, ukajitengenezea, HOTSPOT alafu kama kuna mwenye,
simu au pc ataweza kutumia internet kupiatia Pc au Simu uliyo tengenezea hyo Hotspot,
.
Pia Kuzuia wizi Wi-fi hotspot zinafungwa na password,
hata wewe kama umeitengeneza unaweza ukaiwekea code.
.
Nadhan umefunguka kidogo.
Katika simu yako, kama eneo ulilopo kuna Wi-fi hotsp basi ukiswitch on ita detect, lakin hutaweza ku2mia internet bla code, kama wame i lock, kwa wewe underground in IT
ili advanced na mm pia 2naweza bypass
 
kwa uelewa wangu WireFire (Wi-Fi) Home broadband inakupatia internet excess na network coverage; Yaani ambayo kama alivyo kujuza Mhe.Middlebopper hapo juu... Good luck
 
habari
jamani mimi natumia tecno n7 sas sielewi matumizi ya Wi-Fi na nikitaka kuitumia nafanya nini???? kiukweli i know nothing about it naiona tuuu ipo ila siielewi kabisaaaaa naomba mnifafanulie kwa kina na mnielekeze jinsi ya kuitumia
asanteni

Swali zuri,

Kama alivyoeleza middlebopper ni kwamba, Ili uweze kupata mtandao (Internet) ni lazima uunganishwe kwenye huo mfumo. Na kuna njia kadhaa za namna ya kuunganishwa, zikiwamo za kutumia nyaya na zisizotumia nyaya (wireless)

Wireless Fidelity inakusaidia kuunganishwa na huduma ya mtandao bila kutumia waya kuungwa kwenye simu yako, unatumia hiyo Wi-Fi kuweza kupata internet.

Jambo la kuzingatia ni kwmba, lazima eneo hilo liwe na hiyo huduma ya mtandao ya wireless. Mfano maofisini, viwanja vya ndege, mahoteli n.k na utahitaji kuwa na namba (access code) za kuweza kukuruhusu kujiunga na huduma hiyo kama haitolewi bure.
 
Last edited by a moderator:
Wifi ni Mke wa Kaka (Kwa Madada tu). Mfano kama wewe Mwanamke na una Kaka, basi Mke wake ni Wifi yako....

Mchoro jinsi WIFI inavyofanya kazi ni kama kwenye Picha ambapo ingawa hakuna waya umeungwa, ila kuna mawasiliano yanayopita kutoka HotSpot/Modem/Router etc kwenda kwenye Laptop, simu, Tablet, etc...

skema-wifi-router-hotspot-sendiri.jpg
 
Wi-Fi (wireless fidelity)
.
Nisikuchanganye sana kaka, kama ulvyosema wewe sio It
.
Hii Wi-fi inakuwezesha kupata asses ya Internet, kama sehemu/mtaa/ofisini unapo kaa pana HOTSPOT,
.
nisikuchanganye hotspot, ni sehemu ambapo Wi-Fi Ipo accessible,
.
Kwa mfano kama wewe hapo unaweza, ukajitengenezea, HOTSPOT alafu kama kuna mwenye,
simu au pc ataweza kutumia internet kupiatia Pc au Simu uliyo tengenezea hyo Hotspot,
.
Pia Kuzuia wizi Wi-fi hotspot zinafungwa na password,
hata wewe kama umeitengeneza unaweza ukaiwekea code.
.
Nadhan umefunguka kidogo.
Katika simu yako, kama eneo ulilopo kuna Wi-fi hotsp basi ukiswitch on ita detect, lakin hutaweza ku2mia internet bla code, kama wame i lock, kwa wewe underground in IT
ili advanced na mm pia 2naweza bypass

asante sana mkuu,kiukweli nimeelewa na kama ukinipa mtihani nitapata A na sio division V.
 
Wifi ni Mke wa Kaka (Kwa Madada tu). Mfano kama wewe Mwanamke na una Kaka, basi Mke wake ni Wifi yako....

Mchoro jinsi WIFI inavyofanya kazi ni kama kwenye Picha ambapo ingawa hakuna waya umeungwa, ila kuna mawasiliano yanayopita kutoka HotSpot/Modem/Router etc kwenda kwenye Laptop, simu, Tablet, etc...

skema-wifi-router-hotspot-sendiri.jpg

duuh mke wa kaka ana connect tu bila tabu, nimekuelewa mkuu thanks alot,be blessed
 
Swali zuri,

Kama alivyoeleza middlebopper ni kwamba, Ili uweze kupata mtandao (Internet) ni lazima uunganishwe kwenye huo mfumo. Na kuna njia kadhaa za namna ya kuunganishwa, zikiwamo za kutumia nyaya na zisizotumia nyaya (wireless)

Wireless Fidelity inakusaidia kuunganishwa na huduma ya mtandao bila kutumia waya kuungwa kwenye simu yako, unatumia hiyo Wi-Fi kuweza kupata internet.

Jambo la kuzingatia ni kwmba, lazima eneo hilo liwe na hiyo huduma ya mtandao ya wireless. Mfano maofisini, viwanja vya ndege, mahoteli n.k na utahitaji kuwa na namba (access code) za kuweza kukuruhusu kujiunga na huduma hiyo kama haitolewi bure.

asante ndugu,nimeelewa sasa atlist mmenitoa tongotongo
 
habari
jamani mimi natumia tecno n7 sas sielewi matumizi ya Wi-Fi na nikitaka kuitumia nafanya nini???? kiukweli i know nothing about it naiona tuuu ipo ila siielewi kabisaaaaa naomba mnifafanulie kwa kina na mnielekeze jinsi ya kuitumia
asanteni

images

Kapande matatu za nairobi
 
Bado unazo, unajua maana ya BLUETOOTH yaani Jino la Blue?

Hapa ni sawa na WIFI ila tu, kwenye WIFI, ni kifaa kimoja kinaunganisha Internet bila kutumia Waya.

Unaweza kuunga vifaa kadhaa vikaanza kuwasiliana bila ya kutumia Waya pia. Hapa huhitaji Internet kwa sababu mawasiliano yanafanyika kutoka kifaa hadi kifaa na huwezi kwenda zaidi ya kifaa hicho, labda hicho kifaa kiwe kimeungwa kwenye Mtandao mwingine. Keyboards au Mouse ambazo ni Wireless, zinatumia Bluetooth...

Kwa mfano mtu anaongea na ki-Microfon/phone kimewekwa sikioni, ni Bluetooth hiyo inafanya kazi. Mtu ana wimbo kwenye simu na unataka akupe, basi mnaunga simu zenu au Computer na anakutumia na wewe unaupokea hapo hapo.

images
bluetoothEcosystem568px.png

Back
Top Bottom