NATAFUTA FUNDI MZURI WA SIMU

Khamisjaha

New Member
Jun 18, 2016
1
0
Simu yangu aina ya Tecno Boom J7 imeharibika kioo chake, nahitaji kioo kingine, anaejua gharama za kioo aniambie please
 
kama upo dar nenda Kariakoo Kituo cha polis kuna Jengo linatazamana wapo wachina wa calcare ndo wanabadilisha ila andaa 120,000

Over afande
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom