msaada computer yangu dell inspiron

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Habar wana teknolojia naomba msaada PC yangu aina ya dell inspiron nikiwasha inapiga kelele kwa muda then ndo inawaka halafu pia ghafla namba nane ya keyboard haifanyi kazi jambo ambalo nashindwa ku complete password yangu....computer ina window 10
Naombeni msaada tafadhali chakufa cjui...
Natanguliza shukrani.
 
hio password ikifika page ya kulogin kwa chini kuna icon kama duara hivi ibonyeze utaona option ya onscreen keyboard click hapo utapata keyboard mbadala.

hizo kelele zipoje? ni beep?
 
hio password ikifika page ya kulogin kwa chini kuna icon kama duara hivi ibonyeze utaona option ya onscreen keyboard click hapo utapata keyboard mbadala.

hizo kelele zipoje? ni beep?
Nashukuru mkuu hizo kelele yes ni kama beep ndio mkuu
 
Nashukuru mkuu hizo kelele yes ni kama beep ndio mkuu
kila beep inakuwa na maana kutokana na bios husika

hizi beep za dell inspiron

One - Possible system board failure — BIOS ROM checksum
failure
Two - No RAM detected
NOTE: If you installed or replaced the memory module,
ensure that the memory module is seated properly.
Three - Possible system board failure — Chipset error
Four - RAM read/write failure
Five - Real‑Time Clock failure
Six - Video card or video controller failure
Seven - Processor failure
NOTE: This beep code is supported for computers with
Intel processor only.
Eight - Display failure

hesabu una beep ngapi
 
Habar wana teknolojia naomba msaada PC yangu aina ya dell inspiron nikiwasha inapiga kelele kwa muda then ndo inawaka halafu pia ghafla namba nane ya keyboard haifanyi kazi jambo ambalo nashindwa ku complete password yangu....computer ina window 10
Naombeni msaada tafadhali chakufa cjui...
Natanguliza shukrani.
Pia iyo namba 8 ya kwenye keyboard inafail kwa sababu ya orientation ya keyboard za dell mara nyingi ikifanya kazi kwa muda mrefu au kama ulinunua ikiwa used hiyo ni hatua ya kwanza kukuonesha tahadhari kwamba keyboard imeanza kuchoka, ila baada ya muda itajirudi..ipe mda kidogo isporudi, bas ndo ufanye altenative nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom