mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
Nipo Dar,Nina Basic knowledge ya language kama HTML,pascal na java kidogo.So nilihitaji mtu anayejua android development anipe class na nitaongea na wenzangu tujikusanye kwa pamoja.So if interested check me 0755801248
Au kama unajua mtu anayefahamu tujulishane,
Ahsanteni
Au kama unajua mtu anayefahamu tujulishane,
Ahsanteni