M-PESA haifanyi kazi vizuri

Super Tuesday

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
636
727
Kuanzia jana nimegundua huduma ya m-pesa inasumbua katika utumaji pesa, naomba vodacom warekebishe
 
WIKI YA PILI SASAJUMAPILI IMERUDI SAA SABA MCHANA NAPO KWA MANATI AU NDO KUZIDIWA NINI
 
Jana kuna mtu nimemtumia pesa kupitia kwa Wakala lakini mpaka sasa hajaipata, najaribu kuwapigia customer care kupitia 100 nayo haifanyikazi/inakata.
 
Hiyo ya kutofanya kazi jumapili, walitoa taarifa jumamosi kuwa wangefanya matengenezo tokea saa 4 usiku siku hiyo ya jumamosi hadi jimapili saa 7 mchana
 
Back
Top Bottom