Mother body. Ya HP

Wadau naomba kujua bei ya mother body ya computer ya hp

Nina laptop aina ya hp compaq CQ50, haijawahi kufunguliwa ila ina tatizo la betri (yaani haikai na chaji) na feni yake ni mbovu (ikiwa on muda mrefu inaunguza sana sehemu ya feni) ila inafanya kazi vizuri tu. Naweza kukuuzia kwa bei ya makubaliano kama motherbody yake inaweza kukufaa kwa hitaji lako. Ni pm kama ukihitaji
 
Back
Top Bottom