Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,523
- 24,010
wadau niliweweka kwenye archive files zangu kadhaa na kuamua kuzifungia kabisa na password. lakini sasa najaribu kuingiza password week ya tatu hii zote zinakataa. je kuna namna gani ya kuokoa files zangu hizi maana kilichomo ndani ni muhimu nahikihitaji.