Link ya kutrack simu

johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,793
Likes
3,612
Points
280
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,793 3,612 280
Wakuu naombeni msaada, niliibiwa simu hivi karibuni kibaya zaidi mwizi namfahamu na picha zake ninazo tatizo ni kwamba nimejaribu kwenda polisi sijapata msaada zaidi ya kufungua faili tu.

Mbaya zaidi sasa hivi huyo mtu ananipigia simu kwa namba yake anadai amewekewa bond kwahiyo kama ninaitaka nimtumie hela ambayo ametoa kwa huyo mwizi ila hataki nimuone nimtumie kwanza, then ndio anipe sasa nataka nipate msaada wa kutrack hiyo simu yake nijue wapi alipo.
 
J33

J33

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
1,462
Likes
1,008
Points
280
J33

J33

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
1,462 1,008 280
Mtu mnawasiliana unashindwa kumkamata...!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
IamError_D

IamError_D

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Messages
429
Likes
38
Points
45
IamError_D

IamError_D

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2011
429 38 45
Inaonekana mwenye simu yako kakupigia so hapo uwezekano wa kumpata ni kumtumia demu mwenye sauti nzuri ili aingie mikononi kwako.
 
GTA

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Messages
880
Likes
582
Points
180
GTA

GTA

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2013
880 582 180
Ku track simu nenda polisi wanafanya hizo kazi, simple and clear!!!
 
T

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Messages
350
Likes
166
Points
60
T

tiku

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2015
350 166 60
Mbona watu mna masihara mtu anashifa afu mnaongea ujinga ujinga, acheni hizo watu waima nyie mfyuuu
 
trojan

trojan

Member
Joined
Feb 12, 2016
Messages
73
Likes
25
Points
25
trojan

trojan

Member
Joined Feb 12, 2016
73 25 25
Wakuu naombeni msaada, niliibiwa simu hivi karibuni kibaya zaidi mwizi namfahamu na picha zake ninazo tatizo ni kwamba nimejaribu kwenda polisi sijapata msaada zaidi ya kufungua faili tu.

Mbaya zaidi sasa hivi huyo mtu ananipigia simu kwa namba yake anadai amewekewa bond kwahiyo kama ninaitaka nimtumie hela ambayo ametoa kwa huyo mwizi ila hataki nimuone nimtumie kwanza, then ndio anipe sasa nataka nipate msaada wa kutrack hiyo simu yake nijue wapi alipo.
Mkuu hebu fafanua vizuri ,huyo mwizi aliipata wapi no yako??
 
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,793
Likes
3,612
Points
280
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,793 3,612 280
Mkuu hebu fafanua vizuri ,huyo mwizi aliipata wapi no yako??
nikisema niweke maelezo yote hapa nitajaza kurasa na ww utaboreka kusoma. ila kifupi ni kwamba jamaa nilimaliza nae olevel miaka 7 nyuma. tukawa hatuna mawasiliano ila siku ya tukio nikapokea simu kuuliza ni yy akadai namba yangu amepata facebook then akaja kwangu mchana wake tukala chakula cha mchana pamoja nyumbani kwangu kuna mda around saa kumi hv nkaenda uani kurudi nikakuta mgeni hayupo wife alikuwa amejipumzisha chumbani hakujua nn kinaendelea sebuleni kuja kutahamaki simu yangu haipo na wallet ilikuwa kwa kocha nililokaa nikakuta dollar 300 za office hakuna. so kaiba dollar300 na simu aina ya blu energy 2 thamani ya laki 4....
nikatoa taarifa polisi kasheshe ikawa kwenye ufatiliaji longo longo kibao.. polisi wanatak kiasi cha laki 3 ili wafanye kazi nikaikosa hyo hela.. nikashauri niende tcra wao nao hawatoi huduma hyo nikaamua niachane nayo...
ubaya jamaa ananipigia simu nimtumie hela ili anielekeze wap nitakapoifata.... ndo mana nahitaji kupata app ya location tracker ili niweze ifanya hyo kaz mwenyewe uzuri rb ninayo
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,212
Likes
48,013
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,212 48,013 280
nikisema niweke maelezo yote hapa nitajaza kurasa na ww utaboreka kusoma. ila kifupi ni kwamba jamaa nilimaliza nae olevel miaka 7 nyuma. tukawa hatuna mawasiliano ila siku ya tukio nikapokea simu kuuliza ni yy akadai namba yangu amepata facebook then akaja kwangu mchana wake tukala chakula cha mchana pamoja nyumbani kwangu kuna mda around saa kumi hv nkaenda uani kurudi nikakuta mgeni hayupo wife alikuwa amejipumzisha chumbani hakujua nn kinaendelea sebuleni kuja kutahamaki simu yangu haipo na wallet ilikuwa kwa kocha nililokaa nikakuta dollar 300 za office hakuna. so kaiba dollar300 na simu aina ya blu energy 2 thamani ya laki 4....
nikatoa taarifa polisi kasheshe ikawa kwenye ufatiliaji longo longo kibao.. polisi wanatak kiasi cha laki 3 ili wafanye kazi nikaikosa hyo hela.. nikashauri niende tcra wao nao hawatoi huduma hyo nikaamua niachane nayo...
ubaya jamaa ananipigia simu nimtumie hela ili anielekeze wap nitakapoifata.... ndo mana nahitaji kupata app ya location tracker ili niweze ifanya hyo kaz mwenyewe uzuri rb ninayo
Sijawai kuona polisi wa ovyo kama hawa wa kwetu,hivi hawalipwi mishahara?
 
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,793
Likes
3,612
Points
280
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,793 3,612 280
Sijawai kuona polisi wa ovyo kama hawa wa kwetu,hivi hawalipwi mishahara?
we acha tu na hapo nimewarahisishia kazi nina picha za mtuhumiwa namba yake ya simu ipo hewan maeneo anapopatikana.....
 
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,793
Likes
3,612
Points
280
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,793 3,612 280
acha fbi waheshimike duniani kazi yao wanayoifanya raia tunaona...
 
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,793
Likes
3,612
Points
280
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,793 3,612 280
Mtu mnawasiliana unashindwa kumkamata...!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ndo maana nikaomba msaada kama una means nambie nifanyaje. nimekosa support
 
kongobelo

kongobelo

Senior Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
199
Likes
10
Points
35
kongobelo

kongobelo

Senior Member
Joined Jul 11, 2012
199 10 35
Sijawai kuona polisi wa ovyo kama hawa wa kwetu,hivi hawalipwi mishahara?
mimi nakwambia nilikua na kesi ya kuibiwa simu.nikapeleka kesi yangu polis nikawapa hadi namba ya mwizi ambaye aliweka chip ila walishindwa kunisaidia. nilichokifanya kwa vilw miki mwenyewe mzee wa system hawakumaliza wiki nika arrest mwenyewe ndio nikawafikisha wezi wangu kituoni.
polisi bongo wanazingua sana labda uwebumeingilia interest zao au za wakubwa ndio huwa wanakua active.
 
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
2,527
Likes
1,106
Points
280
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
2,527 1,106 280
TCRA NA USALAMA WA TAIFA NDO WANAZO HIZO SOFTWARE ZA KUTRACK SIMU CHA MSINGI WEWE TUMIA MBINU MBADALA ZA KUMDAKA MWIZI
 
Nahonyo

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Messages
3,291
Likes
1,521
Points
280
Nahonyo

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2012
3,291 1,521 280
Mkuu hebu fafanua vizuri ,huyo mwizi aliipata wapi no yako??
Kwani simu ikipotea au kuibiwa si inakua na line yake, au inatolewa kwanza, hili swali lako limenifanya nikutafakari sana, umeuliza swali rahisi mno.
 
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,793
Likes
3,612
Points
280
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,793 3,612 280
mimi nakwambia nilikua na kesi ya kuibiwa simu.nikapeleka kesi yangu polis nikawapa hadi namba ya mwizi ambaye aliweka chip ila walishindwa kunisaidia. nilichokifanya kwa vilw miki mwenyewe mzee wa system hawakumaliza wiki nika arrest mwenyewe ndio nikawafikisha wezi wangu kituoni.
polisi bongo wanazingua sana labda uwebumeingilia interest zao au za wakubwa ndio huwa wanakua active.
ok mkuu unanisaidiaje? naeza pata hyo app au link maana huyu jamaa ananihanisi ananiona kama fala hv
 
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,793
Likes
3,612
Points
280
johnsonmgaya

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,793 3,612 280
TCRA NA USALAMA WA TAIFA NDO WANAZO HIZO SOFTWARE ZA KUTRACK SIMU CHA MSINGI WEWE TUMIA MBINU MBADALA ZA KUMDAKA MWIZI
hao tcra wamenikatalia hawafanyi hzo kazi. nirud polisi
 
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
2,527
Likes
1,106
Points
280
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
2,527 1,106 280
UNATUMIA MTANDAO GANI?
 
Forum statistics

Threads 1,239,203
Members 476,441
Posts 29,345,577