Msaada wa vitabu vya kudesign electronic CCT

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Nahitaji kujua Ku design electronic CCT kama inverter, amplifier, security system, n.k

Nahitaji miongozo, kielimu nipo chuo kikuu mwaka wa pili mechanical engineering ila napenda electronics CCT design

Naombeni msaada wa jins ya kudesign hasa complex ccts

@Null pointer

CHIEF MKWAWA

Transistor

Na wengineo
 
MKUU, nimepend sana jinsi unavyotaka saka elimu ....ngoja nitulie nikushushie vitabu vya electronics
 
ongezea na programming, robotics, embedded systems ufanye mechatronics kabisa itakua mzuka sana circuitstoday.com ingia apo
 
Back
Top Bottom