Simu yangu inaniandikia enter the privacy protection password, nifanyaje?

Simu yangu inaniandikia enter the privacy protection password, nifanyaje?

Si sehemu yake hapa....peleka "habari na hoja mchanganyiko" utasaidika mapema zaidi...hili ni jukwaa la siasa...mambo ya simu wapi na wapi bwana...jiongeze..
 
Ohoo. Majaribio ya kuzima simu feki yatakuwa yameanzia kwenye simu yako. Nunua nyingine mkuu. Huwezi bishana na teknolojia.
 
Privacy haitoka mwa hard reset hata cku moja.. Hio inaitwa kwa jina jingine anti-theft inahitaj special software kama miracle box. Nitumie PM ukinipa aina ya simu yako na detail zake... Nitakupa maelekezo kama upo dar nitakusaidia free of charge....
 
Yaah nmeona juzi hyo issue ya ant theft kweny miracle box.. Kumbe ndio inahusika na privacy protection sio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom