Database ni broad term ni vema ukasema ulihitaji kufanya nin,maana kwa haraka haraka tu naona unahitaji system yenye database.Wataalam habari zenu, Nimekuja naomba msaada ninahitaji msaada juu ya kuanzisha Data Base ya watu wengi inafananaje hyo Data Base?
Wataalam habari zenu, Nimekuja naomba msaada ninahitaji msaada juu ya kuanzisha Data Base ya watu wengi inafananaje hyo Data Base?