wazirib28
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 460
- 275
Habari wakuu.. nina simu aina ya Samsung Galaxy Ace 4 neo. Tatizi ninalolipata ni speed. Sielewi tatizo ni lipi hasa. Je ni RAM? SOFTWARE VERSION? au nini? Suala la software ilikuwa ipo built na 4.2Jelly bean... nimeupgrade hadi 4.4 kitkat lakini sioni mabadiliko. Je, nifanyeje?