Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,052
habari za leo wanaforum yetu pendwa, kama heading inavyosema hapo juu. hapa ofisini kwetu zimekuja computer za msaada zikitumia N computing system. awali zilikuwa zinapiga kazi fresh tu. Ila sasa baada ya muda ni kuwa zikaanza kusumbua moja baada ya nyimgine na hatimaye leo zimegoma zote kasoro server tu.
configuration yake ni kuwa server/CPU moja inapeleka monitor sita tofauti, hapa ni kuwa tano zimegoma so kazi inafanyika kwenye server tu.
Cc: CHIEF MKWAWA , ymollel , Young Master
configuration yake ni kuwa server/CPU moja inapeleka monitor sita tofauti, hapa ni kuwa tano zimegoma so kazi inafanyika kwenye server tu.
Cc: CHIEF MKWAWA , ymollel , Young Master