Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,121
- 3,732
Kifup napenda niangalie vitu vyangu vya kwenye smartphone kupitia tv screen. Kwa mfumo wa wireless naona kutumia wi fi ya tv ni bora zaid. Lakin nimeshangaa sony bravia tv yangu haina built in wi fi. Inabid nipate ya kuchomeka kama usb. Sasa kwa walioko dar au mwanza naipata wapi? Au naomba mwenye ujuzi wa ziada kuhusu wireless screen mirroring anijuze. Muhim niangalia kila kitu cha kwenye sim yangu kwenye tv screen bila kutumia cables kama HDMI