Walioitumia TECNO L5 watuambie chaji yake inakaa muda gani on heavy uses?

Kibishi

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,139
1,028
Walioitumia na wanaoitumia naomba wanisaidie tafadhali TECNO L5 inakaa na chaji kwa siku ngapi kwa data ya 3G ikiwa ON while on heavy usage.
Je,TECNO L5 na L8,ipi inayokaa na chaji zaidi ya mwenziye?
 
N zaid ya Massa 8 ukiwa on data
Vipi ukiwa una-stream mfululizo?,duration yake ipoje
Vipi ukiwa una-download mfululizo?,inakaa muda gani?
Vp kwa matumizi ya kawaida?,inakaa siku ngapi?
 
Mi nakaa NATO hata siku nzma kiukweli INAtunza chaji sana naiaminia
Masaa 8,acha bana,ukitumia rafu sana sana ni 24hrs,mm nnayo na huwa sizimi data,na full nipo hwani nachat naperuz na anafanya kila nnachoweza ina kaa masaa48,yaani 2days,ila L8 ni zaidi ya L5 maana betri ya L8 ni kubwa zaidi ya L5yenye5000mh
 
Vipi ukiwa una-stream mfululizo?,duration yake ipoje
Vipi ukiwa una-download mfululizo?,inakaa muda gani?
Vp kwa matumizi ya kawaida?,inakaa siku ngapi?
Asikudanganye mtu mm ni mtumiaji rafu wa chaji,nachokuambia L5na L8 ni kiboko,si chini ya masaa 24 kwa matumizi ya vurugu
 
Asikudanganye mtu mm ni mtumiaji rafu wa chaji,nachokuambia L5na L8 ni kiboko,si chini ya masaa 24 kwa matumizi ya vurugu
L5 vs. L8 yupi anayemfunika mwenziye kwa kukaa na chaji muda mrefu kwa matumizi ya rafu?
 
Wakuu vipi kuhusu tecno c8 ?
Tecno C8 inajitahidi ila haiwafikii L5 na L8.
Kuna zaga lingine linakuja hilo linaitwa Camon C9,hilo nalo kwa betri ni kama L5 na L8.
Lingine ni L6,sema lenyewe lina 4500mAh,hili nalo sijui vipi,ngoja waje wataalam walilolitumia watuambie battery life yake.
 
Masaa 8,acha bana,ukitumia rafu sana sana ni 24hrs,mm nnayo na huwa sizimi data,na full nipo hwani nachat naperuz na anafanya kila nnachoweza ina kaa masaa48,yaani 2days,ila L8 ni zaidi ya L5 maana betri ya L8 ni kubwa zaidi ya L5yenye5000mh
Siyo L5 ndiyo zaidi ya L8?,ingawaje kimuonekano L8 ina 5.5-inch na 5050mAh ambapo L5 ina 4.5-inch na 5000mAh,ukigawanya mAh gawanya kwa inch kwa kila moja ili kulinganisha,ratio ya L8 unapata 918.1818mAh na ratio ya L5 unapata 1111.1111mAh,tunapata ratio kubwa ni ya L5.
Huo ni mtazamo wangu tu,
Waliotumia L8 wanasemaje matumizi ya rafu betri yake inakaa siku ngapi?
 
Back
Top Bottom